Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Unapozungumza jitahidi tusikie hekima kinywa mwako, unapotenda jitahidi tuone matendo mema ndani yako, unapovaa jitahidi tuone staha kwenye mavazi yako, kila ukifanyacho kiwe katika hali ya uwakilishi wa ujumbe mwema mbele ya macho ya watu.