Unapozungumza jitahidi tusikie hekima kinywa mwako, unapotenda jitahidi tuone matendo mema ndani yako, unapovaa jitahidi tuone staha kwenye mavazi yako, kila ukifanyacho kiwe katika hali ya uwakilishi wa ujumbe mwema mbele ya macho ya watu.

Wapo watakao kwambia Mimi Nina roho nzuri na wengine wapo watakao kwambia Mimi Nina roho mbaya wote wapo sahihi Kwa Sababu Mimi huwa namtendea mtu sawa na Alivyo nitendea yeye

Nakukumbusha Tena kuwa hata wale wanaokuchukia watahuzunika na kukusifu kwa mazuri wakati ukiwa umekwisha kufa..Lakini Kiburi na majivuno jitahidi kuviepuka kwa kuzidi kumuomba mwenyezi MUNGU akupe Mwisho mwema..