moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Tulikuwa nawe hapa miaka kdhaa iliyopita,
Baadaye ukautenga uzi bomba
👍Kwenye maisha yako jitahidi sana mafanikio yako yasitokane na anguko la mtu mwingine.
👍Wema wa mtu hujidhihirisha kwa matendo yake na sio kwa maneno yake sababu maneno ni rahisi kumtamkika kuliko matendo mema kutendeka.
KweliUkitaka kuishi kwa furaha safiri na mifuko miwili moja ya kutoa na nyingine ya kupokea
NaamMaisha Yako Ya Leo Sio Taswira Halisi Ya Maisha Yako Ya Kesho, Usikate Tamaa! Ukiona Unaonekana Hivo, Ujue Ni Neema Ya Mungu Tu.Unachopitia Sasa Kipe Muda Utanoga Tu, MUNGU Mbele, Bidii Sana, Pambana, Tumia Kila Fursa Kikamilifu
SawasawaKila kizuri kina ubaya ndani yake, na kile chenye ubaya kina uzuri pia
AiseeTupambane sana kutafuta pesa.”lakini tusisahau kuwa na marafiki wachache waaminifu na wenye msaada maishan mwetu....wazaz wanafariki ndugu wanabadilika
FactMtu ambae amekasirika au alie lewa mzingatie sana maneno anayokwambia, Hayo ni maneno anayotamani kukwambia kipindi akiwa sawa ila ndio hivyo inashindikana.
YapKuna watu unawalalamikia hawakusaidii lakini kumbe ni mpango wa Mungu kabisa wasikusaidie usiwalalamikie mshukuru Mungu kwa kukutenga na watu wasio sahihi kwenye maisha yako omba Neema ya Mungu ikukutanishe na watu sahihi usilazimishe ushirikiano usiotoka kwa Mungu
SawasawaKitu Pekee Cha Thamani Unachotakiwa Kujivunia Kila Siku Ni Uhai Na Afya Uliyonayo
HaswaaHakuna historia isiyo kuwa na mapito,Hakuna kesho isiyo na maono, Na leo yako inakamilishwa na mapito pamoja na maono yako iheshimu leo ndio yenye kesho yako
SawasawaUkiona mtu anakuambia huwezi kufanya jambo fulani usiogope maana huo ndio mwisho wake wa kufikiria/chukua maamuzi zingatia malengo yako