antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 51,723
- 134,757
HahaUlimwengu huu tunaoishi una mambo mengi sana ya kushangaza,kufurahisha,kuhuzunisha na kutafakarisha.
Sasa kilochobaki kinatudhibiti wanadamu ni hofu ya kifo basi.
HahaUlimwengu huu tunaoishi una mambo mengi sana ya kushangaza,kufurahisha,kuhuzunisha na kutafakarisha.
Sasa kilochobaki kinatudhibiti wanadamu ni hofu ya kifo basi.
🌹Usichague Starehe Kwenye Umri Wako wa Mahangaiko,Sababu itakupasa Kuhangaika Kwenye Umri Wako Wa Starehe
SawaMAISHA ni MAPAMBANO yaani hakuna mtu ambae anaweza kupambana kwa NIABA yako zaidi ya ww MWENYEWE.
Duh,
🌹Ni wachache sana wanao na watakao furahia mafanikio yako, hivyo jifunze kua msiri wa malengo yako, acha maendeleo yajitangaze yenyewe machoni pao
👍Usimchukue mteja anayekuja tu kuuliza bei, Kuna siku atanunua yeye au atamleta rafiki yake
KweliJambo lolote lenye baraka/ ambalo ndio destiny yako hua lina vita kubwa sana na hii vita sio ya kiroho tu utaiona hata kama mwili, ni vizuri kutumia hekima na kumuomba Mungu pamoja na kuwa na utulivu ili adui asipate pa kukushinda, inaweza kuwa kazi, mahusiano, biashara
👍Ukitaka kufaulu katika Maisha yako, jitahidi kufanya mambo yenye kumridhisha Mungu
😄 🤣Marafiki bandia ni kama vivuli. wana kufuata juani na kukuacha gizani.
Marafiki bandia ni kama vivuli. wana kufuata juani na kukuacha gizani.
📌Mashindano mazuri ni yale ya kushindana na nafsi yako katika kuepuka kufanya mambo yatakayokuingia kwenye umaskini na majuto na sio kushindana na watu
TrueA positive mindset can turn obstacles into opportunities
KweliHakuna MTU anaeweza kuvumilia shida zako ni vile MUNGU katuumba kushindwa kutambua nini tunawaza ndani ya mioyo yetu
HahaUsipoichosha Akili Yako We Mwenyewe, Wenye Akili Wataichosha
🌹Maisha ya sasa watu wanakuumiza alafu wanajifanya kwamba wewe ndio umewaumiza zaidi.
Na wanatumia nguvu kubwa zaidi kuwaaminisha watu wengine kuwa wewe ndio tatizo.
HahahaKabla ya kupokea zawadi peleleza nia ya mtoaji kwani kuna kutoa zawadi kama zawadi na kuna kutoa zawadi kama chambo
🌹Unapozungumza jitahidi tusikie hekima kinywa mwako, unapotenda jitahidi tuone matendo mema ndani yako, unapovaa jitahidi tuone staha kwenye mavazi yako, kila ukifanyacho kiwe katika hali ya uwakilishi wa ujumbe mwema mbele ya macho ya watu.
📌Sio Kila Mtu Unaye Mjua Ana Takiwa Kujua Mambo Yako.
HahaDuniani utachagua wewe uwe na Pesa au majungu