Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,984
- 189,583
Ila huyu jamaa anazingua kishenzi
Eti mlenda wa Bariadi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hapa mbali ya ngisi na pweza mpaka mlenda wa bariadi unapatikana. Karibuni sana watani mtapata vyote
Sent from my HUAWEI CUN-L21 using JamiiForums mobile app
Ogopa kile kiitwacho fwedhwa.Mbona kwenye video inaonekana kabisa tonge la mchele huo linadunda kama kitenesi? Ina maana video hizo zimepikwa? What's going on? Bongo hii bana yaani hatumalizi vituko!
Salama.Umeamka salama?
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
15:3115:03
Mnanyoa kweli kweliKaribu tena barazani, wembe ni ule ule
Sent from my HUAWEI CUN-L21 using JamiiForums mobile app
Mkuu naja tushare idea hapo kwenye mpungaLate lunch.... # weekend is here
Mbuga za wanyama
Vitambi na wengi wako out of shape...Alitisha sana yani alikuwa anakimbia mikono kanyanyua juu ila polisi wakashindwa kumkamata.
Je angekimbia katika equilibrium yake polisi hawa.
Hahahahaha huku amani tu ila vyombo vya habari tu ndio wanachafuaMje mniuwe? [emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️
Komando ho chi minhKomando kichwa kichafu
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app