cocochanel
Platinum Member
- Oct 6, 2007
- 29,011
- 79,226
Zimwi likujualo, halikuli likakuisha.
Me mzima kabisa,nafurahi kukuona humuAcha tu dadangu, si wajua tena[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Uko poa fadangu!
Ooh SHIMBA bado yupo Maryland kwa bwana yuleee mbabeNasikia Maryland ni joto la hatareee
Sawa mkuuLike to like bamba too bamba
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Hahahaha kabisa maana sijakutia machoni kitambo[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Fresh sana. Aje aje limah aloyzKichwa Kichafu vipi mwana
Kibumbu!Wapi kibumbu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Too philosophical kamanda!
HahahaaaJamaa kafuata nyuki, kafakamia asali sasa haoni hata haja ya kuchonga mzinga tena. Sad!