cocochanel
Platinum Member
- Oct 6, 2007
- 29,011
- 79,226
Usafishapo uso unamaliza penye kidevu
Chukua na hicho chekundu peleka kwa nsamaka wewe ndo mana unaibiwa[emoji23] [emoji23] [emoji23]Green city,kwa hiyo raba tu.
Sent from my TECNO CX Air using JamiiForums mobile app
KWeliHii nchi viongozi sijui wakoje,naona tunarudi kwenye zika[emoji47][emoji47]
Usafishapo uso unamaliza penye kidevu
Naww ni muhengaUsinywe jasho; maji yako mbele.
Kuna wadada wana mioyo ya uvumilivuHongera yao hatimae after 8yrs jamaa kaamua kumvisha pete
Ikwiriri huuuukuuu...niiii.. salaaama ka..ka.kakak...kabisa.Salama.
Ikwiriri mambo ni shwari huko?
Kaskazini kule kuna koo za akina Mboro kibao. Ni kawaida tu ndo maana hata majina ya Wajapani wenyewe hayawasumbui...Kibumbu!
Pale gerezani kuna duka limeandikwa,
MBORO HADWARE.
Majina ya kibantu
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Pamoja Boss wanguKama kawa mida kama hii niko bize na majukumu
Kichwa kichafu&mzee wa liver
Kwakweli miaka 8?daahKuna wadada wana mioyo ya uvumilivu