Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ooh SHIMBA bado yupo Maryland kwa bwana yuleee mbabe

Sent from my HUAWEI CUN-L21 using JamiiForums mobile app
Maisha haya yanatufanya twende popote kuhemea mkuu. Nahesabu siku kwa makini kwa sababu mashamba yangu ya nyanya na dengu yananisubiri Koromije mkuu. Kwa Trump huku mambo tight hata wanaoishi huku sijui wanaishije. Panachosha!
 
Zimwi likujualo, halikuli likakuisha.
498b0eb8160b33ac648eef73e5db640b.jpg
 
Back
Top Bottom