Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,984
- 189,583
15:09AMUN RA
12:00
Judge number 54
15:09AMUN RA
12:00
Judge number 54
Hahahaa kwelKaulamba hasa kwenda kushikana mkono na Rooney. Amevunja rekodi ya Wasukuma kama Mwakyembe alivyovunja rekodi ya Wanyakyusa juzi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]![]()
wadada haoChura mjenda huyu
15:1011:44
AMUN RA
Na wewe umeanza kutumia mjani?[emoji23][emoji23]Upo sahihi muhenga macho ya wahenga ndio wanaona[emoji23] [emoji23]
Sioni likes za kutosha mkuu. Myoyambendi naye leo naona hayupo. Simamia hilo jukumu M'kiti wa Kibiti. Hakikisha watu wanatoa likes...Tumerudi baada ya kifungo cha week
Zuri, I love baridiHili baridi la huku si mchezo
[emoji41] [emoji41] [emoji41] nimevaa tayari(miwani)Vaa miwani si ulikuwa umevua ukanipa nishike. [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Me 2 my dearestISIS nimekumiss
Kula likes kwanza uelewa naadaeSitaki "like"yako
Embu kuwa muelewa basi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] hebu rudia jibu lako nisikieKweli sijaona glass labda we umeforce tu kuwa glass ila mi jibu la kwanza ndio jibu[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mkuu leo umekichafua na picha kali
Si kwa kubadirisha na mnyama, naona kama haiko sawa. ila kula likes yako waache wahenga wafanye yao kwakuwa ni milla na tamaduniKwani pwani hakuna mahari? Ina maana nikiamua kuoa Mzaramo ni bure?
HahahahaKula likes kwanza uelewa naadae
Kwani kiboko na mamba nani kiboko?[emoji38][emoji38]Sio mamba?
carbamazepine jibu la kwanza kwangu ndio sahihi[emoji23] [emoji23] [emoji23]