Kwakweli kumepooza,Watu wako lunch mchana huu au kwa vile ni Friday? Naona kama vile kumepooza pooza hivi. Likes na thread inajikongoja [emoji23][emoji23][emoji23]
Kula likes ya ki buzitataHahahaha
Shikamoo mekapu!
HahahahaCarba eti alisema Kichwa na Andjul lazima wataona vitu vya ajabu katika picha hii ,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Brother brother aje aje
Na mwingine huyu hapa. Hawa wahenga hawa we acha tu [emoji23][emoji23][emoji23]
HahahahaUsijidharau! Wakati Kemet kuna civilization wazungu walikuwa kama wanyama Europe!
Kila kitu na wakati wake chini ya Jua! Trust me!
Nyekundu, mweusi, mweupe na wa blue[emoji23] [emoji23] [emoji23]Ukimuona Kuku kwa mganga ujue Rangi yake ndio imemponza!!
Tumeshakula, ingawa wageni wanapokelewa tu. Karibu SHIMBAKwema mkuu? Lunch tayari?
Uzi mkongweUzi muhenga
BeyonceBeyonce na watoto wakeView attachment 542020
Nzuri mhengaHabari wakuu
Kwani pwani hakuna mahari? Ina maana nikiamua kuoa Mzaramo ni bure?[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji121] [emoji121] bara huko[emoji1] [emoji1] [emoji3] [emoji121] [emoji121] [emoji121]
Sent from my HUAWEI CUN-L21 using JamiiForums mobile app