Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Maajabu ni pale kaburi linapopambwa kwa maua wakati ndani yake kuna mifupa tu! Tafakari..!!
Wenye nazo siku hizi wanaweka micheni ya dhahabu, mipete mpaka na expensive wines & spirits. Naona wanajaribu kuwaiga mafarao wa kale waliozikwa na supply ya kutosha ya kila kitu walichohitaji huko waendako!
 
Hahahaaa! Hizo mali si bora zingetumika kusaidia masikini kuliko zinaenda kuoza bila faida?
 
Hahahaaa! Hizo mali si bora zingetumika kusaidia masikini kuliko zinaenda kuoza bila faida?
Matajiri wa Africa hasa hawa vijana vijana ndo wanafanya hivyo siku hizi. Wengine mpaka wanazikwa na magari yao ya kifahari. Kaburi la Ivan (RIP) liliwekewa walinzi ili watu wasifukue kukwapua mamilioni ya pesa na jewelry alizozikwa nazo...
2dc2e7802d33bb69fc142801a7e3e6c1.jpg
 
Matajiri wa Africa hasa hawa vijana vijana ndo wanafanya hivyo siku hizi. Wengine mpaka wanazikwa na magari yao ya kifahari. Kaburi la Ivan (RIP) liliwekewa walinzi ili watu wasifukue kukwapua mamilioni ya pesa na jewelry alizozikwa nazo...
Upumbavu katika ubora wake!
Waafrika lazima tubadilike walahi tena!
 
View attachment 541994
Maskini anategemea tajiri ku kuishi!
Ndiyo maana hao punguani wanapenda kutuita nchi za kiafrika maskini! Kwa kuwa wanajua mdomo unaumba!
Hivyo wana CONTROL our minds ili tuone wao ni superior!
Mwenye Enzi Mungu ingilia kati utusaidie milele!
Aisee. Na ukiambiwa kitu mara kwa mara mwishowe unaanza kukiamini...
 
Aisee. Na ukiambiwa kitu mara kwa mara mwishowe unaanza kukiamini...
Na sisi tumeshtuka sasa ndiyo maana sipendi kusoma post yeyote inayosagia nchi yangu au mtu mweusi!
Yaani lazima tuamke na tuwe na busara na ufahamu na hekima!
Watu weupe ni hataree!
Lakini sisi tunayaweza yote kwa yeye atutiae nguvu!
 
Ndiyo maana Utukufu wao ukachukuliwa na watu weupe!
Lakini sasa umerudi tena kwetu!
Egypt mimi kwa kweli bado ni fumbo. Technology ile iliyowafanya wajenge mapiramidi, kukata, kunyanyua na kuchomelea mapande ya miamba migumu yenye uzito mpaka wa tani 50 ilipotelea wapi? Leo hii na mashine za kila aina bado ni ngumu, Wamisri wa kale waliwezaje? Nguvu za akina ISIS zilihusika ama? ...and then what happened?
 
Back
Top Bottom