Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Na sisi tumeshtuka sasa ndiyo maana sipendi kusoma post yeyote inayosagia nchi yangu au mtu mweusi!
Yaani lazima tuamke na tuwe na busara na ufahamu na hekima!
Watu weupe ni hataree!
Lakini sisi tunayaweza yote kwa yeye atutiae nguvu!
Na iwe hivyo.Tatizo tunakandamizana wenyewe kwa wenyewe ili tusisimame,hatuna ushirikiano bali kudharauliana.

Sent from my TECNO CX Air using JamiiForums mobile app
 
images

images
Kazi nzuri

Sent from my HUAWEI CUN-L21 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom