Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

19955735_322536558193046_3221563223933190144_n.jpg
 
Nashukuru kwa kumtilia wasi wasi Muafrika.Kwa kiasi kikubwa jamii yetu imetawaliwa na chuki,yaani mimi andjul kumchukia shimba ya buyenze hata haichukui hata dakika,chanzo cha kumchukia mwenzangu? Hamna, basi tu.Tukipona ugonjwa huu tutafika mbali sana
Hiyo ni necha ya kila mnyama hapa duniani. Kwa wanyama wengine ukiona wanagombana basi ama wanagombania chakula, makazi au mapenzi. Sisi na akili zetu kumchukia mtu wala haihitaji sababu ya maana sana.
 
Back
Top Bottom