Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,984
- 189,583
Habari wazee wenzangu
Mzee wa pwani kaileta maana ya hiyo picha vile ameona inafaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Carba eti alisema Kichwa na Andjul lazima wataona vitu vya ajabu katika picha hii ,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sijidharau ila psychology ya Mwafrika ndiyo hainipi matumaini. Sioni mvuvumko wa kifikra wo wote isipokuwa ndo kwanza tumekazana kuiga kila kitu cha mzungu. Kizazi kipya ndo sikiamini kabisa. Hata viongozi wetu wanaoinuka na kujaribu angalau kupigania raslimali zetu ili tufaidike nazo nao wala hatuwaungi mkono. Uhalisia haunipi matumaini sana!Usijidharau! Wakati Kemet kuna civilization wazungu walikuwa kama wanyama Europe!
Kila kitu na wakati wake chini ya Jua! Trust me!