Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mafanikio makubwa yameshajengwa kwenye fikra,mwili,juhudi na bidii unazozionesha kwenye kila jambo ufanyalo unachopaswa kuongeza unyenyekevu na imani mbele za Mungu.
 
Wewe ni mshindi wa Mambo mengi sana usijipe kibali cha unyonge Fikra zako,mikono na miguu yako bila kumsahau Mwenyezi Mungu ndiyo kibali cha ushindi huo.
 
Umaridadi wako usizidi kiwango cha umasikini wako walau viwe na uwiano sawa ili upunguze ukubwa wa majivuno,kujipendekeza na hata kujidhalilisha mbele ya hadhira inayokuzunguka.
 
Katika kumuabudu Mungu ndipo palipojaa kila aina ya maarifa tunayotamani na kutarajia kumtumainia yeye siyo swala la kuchoka.
 
Mahusiano na urafiki yanapaswa kumsogeza kila mmoja karibu na furaha yake na ndoto za maisha yake. Harakati za kuikimbiza furaha yako zisifanye mwenza au rafiki yako aikimbie mbali furaha yake. Usitake watu waache safari zao usindikizwe peke yako. Kuishi ni kusindikizana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…