Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Unapozidisha unyenyekevu na ustamilivu mbele za Mungu atakubariki zaidi ya unavyostahili kamwe usichoke kumuabudu
 
Eee Mungu endelea kuimarisha usimamizi na utendaji maisha mwetu endelea kuifanya siku hii iwe na neema,baraka na utukufu tele maishani mwetu
 
Eee Mungu endelea kuimarisha usimamizi na utendaji maishani mwetu endelea kuifanya siku hii iwe na neema,baraka na utukufu tele maishani mwetu
 
Siku njema hupambwa kwa rehema za Mwenyezi Mungu kama ilivyo Leo na siku zote zilizobaki maishani mwako.
 
Epuka sukari iliyoongezwa, vinywaji vyenye sukari, soda na vinywaji vilivyoongezwa sukari iliyozidi leo. Meno yako, mfumo wa mmeng’enyo na mfumo wako wa kinga vitakushukuru.
 
Back
Top Bottom