Vitabu vya dini havielezei uwezekano wa kukutana na mali zetu na vyeo vyetu huko mbele ya haki, isipokuwa vinaongelea uwezekano wa nafsi zetu kukutana aidha peponi au motoni. Jitahidi kumalizana na watu kabla hujafa maana uko uwezekano wa kukutana nao peponi au motoni."

Usipoteze muda kukosoa, kubeza kuiga na kuhujumu kazi ya mwenzako. Tafuta namna ya kufidia pengo lililo katika kazi yake na kujiunganishia fursa itokanayo na mnyororo wake wa kazi yake. Kazi ni kujengana si kubomoana. Usipanue ushindani, panua fursa."

Baraka za Mungu zinaambatana na vitu vitatu kazi imani na subira kwenye utafutaji wako unaweza kutumia nguvu akili na bidii ila kama moyo wako hujabeba imani na subira ni vigumu sana kufanikiwa HAKIKISHA HUKOSI HIVI VITU VIWILI NDANI YAKO

JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.