Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Tafiti: Kulala saa nyingi zaidi siku za wikiendi ili kufidia usingizi husaidia kupunguza magonjwa ya moyo
 
Uaminifu ni msingi wa kila kitu. Ukipoteza ni vigumu kuurudisha na utapoteza vingi sana kwenye maisha yako. Linda uaminifu wako ni Hazina ya thamani
 
Je wajua usingizi ni sasawa na kifo tu! Manake ujui lolote,husikii chochote wala huhisi chochote sawasawa na kifo
 
Watu watakuja na kuondoka kwenye maisha yako. Usijihusishe kihisia kupita kiasi, kwa sababu wanapoondoka, maumivu yatakuwa makali zaidi kuliko moyo uliovunjika
 
Mpende Bwana Mungu wako
▪︎ Kwa moyo wako wote
▪︎ Kwa roho yako yote
▪︎ Kwa akili zako zote
 
Kuwa makini na kile unachokitamka kutoka kwenye ulimi wako, mara nyingi shimo lililochimbwa na ulimi, mkono hauwezi kulifukia."
 
Pesa haikosi washauri. Ukiipata, utapata washauri wengi ambao hukuwaona wakati unazitafuta. Watakuletea mipango mizuri ya pesa wakati ama wenyewe hawana pesa au hawako tayari kujaribisha mipango hiyo mizuri na pesa zao. Waogope" ~Togolani Mavura.
 
Kazi ya Mungu kwenye maisha yetu haipimiki kivyovyote tuongeze imani na utashi katika kumuabudu yeye
 
Kila tutendalo lipo salama kwasababu mikono ya mwenyezi Mungu inazidi kutupa usalama maishani mwetu.
 
Back
Top Bottom