Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
SawasawaKuna wakati hautakiwi kulalamika juu ya maisha yako, angalia nafasi yako kisha ishi.Ukilalamika akusaidii kitu kwenye kubadili dira ya maisha yako kila mtu ni mbinafsi Kwa nyanja zake.
Sahihi..Kuna watu wanaishi kwa lengo la kukutafutia shida,dhiki,na tabu waepushe na dira ya maisha yako acha kuwaonesha kuwa unawathamini.
Inawezekana..Ulimwengu hauna upendeleo.
Sawa...Pale utakapoanza kutegemea zaidi vitu, watu au fedha unaharibu kila kitu.
Kweli kabisaMaisha yako ni matokeo ya imani yako
📌📌📌Mungu hatoshuka kutoka mawinguni na kukuambia “sasa hivi una ruhusa ya kufanikiwa”
✅️✅️✅️Mpango wetu hapa duniani sio kuibadili dunia bali kujibadili sisi wenyewe.
📌📌Tafiti: Urefu wa kidole gumba chako, ni sawa na pua yako!
AiseeMpango wetu hapa duniani sio kuibadili dunia bali kujibadili sisi wenyewe.
✅️✅️Tupo hapa kujifunza, dunia ndio mwalimu wetu.
✅️✅️✅️Moja ya uongo unaongozwa kufanywa na watumiaji wa intaneti, ni pale wanapoambiwa kusoma na kuelewa masharti na taratibu kisha kukubali. Wengi hukubali bila hata kusoma kidogo!
👍👍👍Moja ya uongo unaongozwa kufanywa na watumiaji wa intaneti, ni pale wanapoambiwa kusoma na kuelewa masharti na taratibu kisha kukubali. Wengi hukubali bila hata kusoma kidogo!
Inawezekana85% ya mambo unayo hofia huwa hayatokei
SawasawaMungu hatoshuka kutoka mawinguni na kukuambia “sasa hivi una ruhusa ya kufanikiwa”
✔️✔️Tafiti: Kicheko husaidia kupunguza kitambi na unene uliopindukia!