myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
📌📌📌Itume akili yako kwa bidii kubwa ili matatizo yasizoee maisha yako.
📌📌📌Itume akili yako kwa bidii kubwa ili matatizo yasizoee maisha yako.
👍👍👍Leo wanakushangilia unapopanda juu, kesho hao hao wanakuzomea unaposhuka chini. Watu hubaki wale wale; kinachobadilika ni nyakati.
✅️✅️✅️Itume akili yako kwa bidii kubwa ili matatizo yasizoee maisha yako.
AiseeDuniani kuna punda na kuna pundamilia,
Moja anaishi na watu na kuleta ufanisi,
Mwingine ana mvuto ila haishi na watu, kumuona gharama.
Sawasawa ✔️ ✔️Baraka za Mungu zinaambatana na vitu vitatu kazi imani na subira kwenye utafutaji wako unaweza kutumia nguvu akili na bidii ila kama moyo wako hujabeba imani na subira ni vigumu sana kufanikiwa HAKIKISHA HUKOSI HIVI VITU VIWILI NDANI YAKO
Muhimu hiliFanya mazoezi kwa angalau dakika 30 leo au tembea kwa muda mrefu. Moyo wako utakushukuru.
Asante 🙏Kula angalau yai moja leo. Ubongo wako utakushukuru.
Asante kwa ujumbeBaraka za Mungu zinaambatana na vitu vitatu kazi imani na subira kwenye utafutaji wako unaweza kutumia nguvu akili na bidii ila kama moyo wako hujabeba imani na subira ni vigumu sana kufanikiwa HAKIKISHA HUKOSI HIVI VITU VIWILI NDANI YAKO
Asante kwa ujumbeKunywa maji asubuhi hii. Figo zako zitakushukuru.
Kweli kabisaSiku njema hupambwa kwa rehema za Mwenyezi Mungu kama ilivyo Leo na siku zote zilizobaki maishani mwako.
✅️✅️Kuishi na watu imekuwa ni somo lenye mtihani mgumu kuliko mitihani knayopatikana shuleni au chuoni
Amina🙏🤲Eee Mungu endelea kuimarisha usimamizi na utendaji maisha mwetu endelea kuifanya siku hii iwe na neema,baraka na utukufu tele maishani mwetu
✅️✅️Malengo yao ni kuzika ndoto zako na kufufua shida,tabu na karaha zisizoisha maishani mwako.
✔️✔️✔️Malengo yao ni kuzika ndoto zako na kufufua shida,tabu na karaha zisizoisha maishani mwako.
Asante kwa ujumbeEndelea kunywa maji siku nzima. Figo zako zitaendelea kushukuru.
SawasawaJifunze Kutofautisha Kati Ya Msimamo , Kiburi Na Dharau , Hii Ndio Njia Pekee Itakayokusaidia Kuacha Kuwachukia Watu Bila Sababu Za Msingi
KweliHuwezi kuiona thamani ya mwaka mpya na kamwe huwezi kuona mabadiliko kwasababu fikra zako bado zinagundi ya uovu wa miaka mingi iliyopit
Sawasawa ✔️ ✔️Epuka sukari iliyoongezwa, vinywaji vyenye sukari, soda na vinywaji vilivyoongezwa sukari iliyozidi leo. Meno yako, mfumo wa mmeng’enyo na mfumo wako wa kinga vitakushukuru.
✅️✅️✅️Mungu anaamini uimara wako ndiyo maana ametujalia Afya njema ili tupambane na matatizo yetu.
Sahihi na kweliAkili aliyotubariki Mwenyezi Mungu ni kubwa na timamu amini kuwa hakuna jaribu linaloweza kutuzidi wajibika na matatizo yako na uache kuwatupia wengine lawama