myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
AiseeUkiketi, keti kwa kunyooka. Ukisimama, simama kwa wima na kunyooka. Mgongo wako utakushukuru.
SawaaaaMaisha ni mseto wa furaha,huzuni,wakati mgumu na wakati mzuri,kikikosekana kimoja Kati ya hivi hayo sio maisha
NakubalianaKabla ya kuutaka mkono wa mtu fulani ukuinue imarisha mikono yako itende kazi kwa Bidii.
📌📌📌Katika kumuabudu Mungu ndipo palipojaa kila aina ya maarifa tunayotamani na kutarajia kumtumainia yeye siyo swala la kuchoka.
Sahihi kabisaMfumo wa maisha yetu umejaa matatizo punguza kuishi kwa mazoea.
SawasawaNje ya box ulilopo kuna mengi ya kupendeza endelea kufanya uthubutu usiyokuwa na kikomo
SawasawaMafanikio makubwa yameshajengwa kwenye fikra,mwili,juhudi na bidii unazozionesha kwenye kila jambo ufanyalo unachopaswa kuongeza unyenyekevu na imani mbele za Mungu.
SawaUpo duniani kwasababu wewe siyo dhaifu kukata tamaa ni kujichumia dhambi unazoweza kuziepuka
AiseeWewe ni mshindi wa Mambo mengi sana usijipe kibali cha unyonge Fikra zako,mikono na miguu yako bila kumsahau Mwenyezi Mungu ndiyo kibali cha ushindi huo.
NakubalianaHakuna anayejua nguvu ya akili yako Bali ni wewe mwenyewe na unavyowajibika kujituma.
Muhimu hiliMahusiano na urafiki yanapaswa kumsogeza kila mmoja karibu na furaha yake na ndoto za maisha yake. Harakati za kuikimbiza furaha yako zisifanye mwenza au rafiki yako aikimbie mbali furaha yake. Usitake watu waache safari zao usindikizwe peke yako. Kuishi ni kusindikizana
Na hili muhimuMahusiano na urafiki yanapaswa kumsogeza kila mmoja karibu na furaha yake na ndoto za maisha yake. Harakati za kuikimbiza furaha yako zisifanye mwenza au rafiki yako aikimbie mbali furaha yake. Usitake watu waache safari zao usindikizwe peke yako. Kuishi ni kusindikizana