Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mkumbushe mwanao wa karibu hii....

''Jitahidi sana kuacha maringo maana hakuna aijuae kesho yake,wasaidie hasa watu wenye uhitaji maana unavyomiliki nivya duniani huzikwi ukiwa navyo''
 
Mkumbushe mwanao kwamba, kusoma ni kupambana dhidi ya ujinga na kujenga akili. Ila akumbuke kwamba akimaliza kusoma kuna vita ya pili ambayo ni dhidi ya umaskini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…