Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mkumbushe mwanao kuwa,

Hata yule jogoo aliyetenda wema kwa kuwaamsha wenyeji, alichinjwa baada tu ya wageni kufika.
 
Mkumbushe mwanao kuwa hapa duniani watu wanaweza kutoa uhai wa mtu kwaajili ya heshima, Kwahiyo kamwe asipendelee sana kujitia mjuaji hata kwa yale anayoyajua.
 
Mkumbushe mwanao asisahau kuishi pale anapopata nafasi, maana hatujaumbwa kuishi milele!!
 
Mkumbushe Mwanao Kuwa Marafiki Wazuri Ni Kama Nyota, Huwaoni Kila Wakati, Lakini Unajua Wapo Kila Wakati
 
Back
Top Bottom