myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Huenda....Wewe umepata ndio, ila sio wote wamepata,Na waliokosa leo usiwaone kama hawapambani.Huenda kesho ndio zamu yao
ππJifunze Kusamehe Na Kuachilia, Usiruhusu Moyo Wako Kubeba Mizigo Itakayo Kunyima Furaha
πππJifunze Kusamehe Na Kuachilia, Usiruhusu Moyo Wako Kubeba Mizigo Itakayo Kunyima Furaha
Inawezekana sanaUsilazimishe kuwepo kwenye Maisha ya Mtu kuna Muda Mwenyezi Mungu anakuepusha na Watu ili Usiangamie
Hili lipo sanaWanawake wengi wamepoteza Wanaume Wazuri kwasababu ya Ushauri wa Marafiki zao wenye Upweke
β οΈβ οΈβ οΈWanawake wengi wamepoteza Wanaume Wazuri kwasababu ya Ushauri wa Marafiki zao wenye Upweke
SahihiKama ni kweli unahitaji heshima, Basi inabidi uwaoneshe Unaweza Kuishi bila wao.
SawaWatu wakikwambia Umebadilika, Ni kwasababu Uliacha kufanya vile walivyokuwa wanataka wao.
β οΈβ οΈNi ngumu sana Kumsahau Mtu Aliyekufanya uwe na Mengi ya Kumkumbuka.
SawaNi ngumu sana Kumsahau Mtu Aliyekufanya uwe na Mengi ya Kumkumbuka.
Ni kweliKwenye Maisha kuna baadhi ya Watu watabakia kuwa wa Muhimu Hata Usipo chati nao
1β οΈβ οΈMshukuru Mungu kwa Unayoyapitia maana Hakuna Magumu Yanayodumu Milele
Kwenye Maisha kuna baadhi ya Watu watabakia kuwa wa Muhimu Hata Usipo chati nao
Eeeh Mungu Naomba Ukabariki kazi ya Mikono Yangu Siku ya Leo Maana Sisi wengine Tegemeo Letu ni wewe Tu
Eeeh Mungu Naomba Ukabariki kazi ya Mikono Yangu Siku ya Leo Maana Sisi wengine Tegemeo Letu ni wewe Tu
Mwanaume Unaweza kuwa Na Vitu Vingi Vya Thamani ila Hamna kitu cha Thamani kama kuwa Na Mwanamke Anayejitambua.
βοΈβοΈHakuna kitu kizuri kinachokuja kirahisi. Kila unachodhani unastahili kuwa nacho kinahitaji bidii, uvumilivu na kujitoa
SawaMuogope Sana Mtu alie kuacha kwa mbwembwe kisha akarudi kwa hekima nyingi huku akitaka Mrudiane
SawaMshukuru Mungu kwa Unayoyapitia maana Hakuna Magumu Yanayodumu Milele
ππHakuna kitu kizuri kinachokuja kirahisi. Kila unachodhani unastahili kuwa nacho kinahitaji bidii, uvumilivu na kujitoa