myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
📌📌Huwezi kufanikisha Ndoto zako bila kuweka Bidii,Nidhamu na Kuwa na Imani katika kile Unachokifanya
📌📌Huwezi kufanikisha Ndoto zako bila kuweka Bidii,Nidhamu na Kuwa na Imani katika kile Unachokifanya
Sawa piaUsiige maisha ya mtu ili kumfurahisha mtu ishi kwa kipimo ulichobarikiwa.Sjui Unanielewa
SawaKuna Baadhi ya vitu Sio kwamba Haviwezekani, Ni kwamba Tu hukuandikiwa kuvipata
SawasawaKilakitu katika maisha utokea kwa sababu na sababu zake huwa sahihi kwajili ya jambo flani,Acha kujilaumu kwa lolote lile
📌📌Hakuna kitu kinaumiza kama unapambana sana, alafu huoni mabadiliko yoyote katika maisha yako
📌📌Hatuna uwakika Kama Tutapata tena Leo, Lakini Tuna Imani na Anaetoa
SawaTujifunze kuwashukuru sana wale watu Wanaotusaidia Bila kututangaza kwa watu wao wa Karibu.
📌📌Uaminifu ni Gharama sana sio kila mtu anaweza akawa Nao Jifunze kuaminika kwa watu kuna mahali utafika
SawaSio kila mtu atathamini kujitoa kwako na ataheshimu kujinyima kwako, kuna wengine Hawana shukrani
✔️✔️✔️Kuna watu wengi sana wanapitia MAGUMU na MAZITO ila hawawezi kukuambia au kuyaweka wazi
SawaWewe ni binadamu, sio Mungu. Hautaweza kufanya kila kitu kwa kila mtu na kwa kila wakati
📌📌📌Wewe ni binadamu, sio Mungu. Hautaweza kufanya kila kitu kwa kila mtu na kwa kila wakati
📌📌📌Hatumlalamikii Mtu wala hatumlaumu yoyote lakini huwa tunamuomba Mungu sana atuepushe na Aibu ndogo ndogo
✔️✔️Tambua kua Dunia haina huruma, unaweza kuwa na moyo Mwema na watu wakautumia vibaya
✅️✅️Kusamehe haimaanishi lazima uwarudishe wawe Karibu Tena, wengine wapende wakiwa mbali
📌📌Tambua kua Dunia haina huruma, unaweza kuwa na moyo Mwema na watu wakautumia vibaya
Hili sawaWatu Huanza Kukuchukia Pale Wanaposhindwa Kukutawala Jinsi Wanavyotaka au Kufikia Viwango Vyako
Hali ni ngumuMaisha ya Sasa Mtu Akikusaidia kifedha Shukuru,Na Asipokusaidia pia Usilaumu Maana Hali Ni Ngumu mno
Kuna ukweli haswaMaisha ya Sasa Mtu Akikusaidia kifedha Shukuru,Na Asipokusaidia pia Usilaumu Maana Hali Ni Ngumu mno
SawaKaa Mbali Na Watu Wanaobadilika Tabia Baada Ya Kukosa Wanachokitaka Kutoka Kwako