moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
✅️✅️Epuka watu wasio na heshima kwa wazazi wao. Mtu asiyeheshimu wazazi wake hawezi kukuheshimu wewe
✅️✅️Ukipata nafasi ya kuwa na urafiki/ukaribu na mtu aliyekuzidi umri usichukulie poa bali ichukulie kama heshima na fursa.
✅️✅️Tafuta kujitegemea usipende kuishi kwa kumtegemea mtu.
✅️✅️✅️Sijui ni kitu gani kinaendelea kwenye maisha yako au unapitia nini kwa sasa ila nakuombea kwa Mungu huu mwaka ufanikiwe kiuchumi kiakili na kiafya
SawaAliye shindwa kukuvumilia kwenye matatizo yako, Huna sababu za kumpa nafasi kwenye starehe zako
✅️✅️✅️Siku utakayoweza kuusimamia utaratibu wako ipasavyo ndo siku utayaoanza kuyaona mabadiliko ya hatua zako..
✅️✅️Eeh Mungu nikishindwa kusema kwa kinywa changu sikiliza Moyo wangu,Wewe Unaweza kufanya kila Kitu kikawa kipya
✅️✅️Kwenye Maisha Kuna Wakati Lazima Ukosee Ili Moyo Ujutie Na Nafsi Ikuume Ndio Lipatikane Funzo Ambalo Litabadilisha Maisha Yako Moja Kwa Moja
SawasawaMaisha hayatabiriki. Pambana usikate tamaa.
Kweli kabisaPanga mipango yako ila usisahau kuna mipango ya MUNGU
✅️✅️✅️Kilichoisha Thamani Kwako Kinaweza Kuwa Chanzo Cha Mwingine Kutimiza Ndoto Na Malengo Yake
✔️✔️Vijana hakuna maendeleo yanayokuja kwa bahati maendeleo yote yanatokana na nguvu kiasi gani umewekeza kwenye hicho unachofanya hapo pasipo kukata tamaa
SawaKuna MUDA unatamani Maisha yatuoneshe Mambo yajayo, Ili tuache kupoteza Muda kwa vitu Tunavyo Viendea
✔️✔️Tupo katika Dunia Ambayo watu wanaweza Kukuzidi kila Kitu lakini bado Furaha Yako na Amani Yako Ikawaumiza roho.