myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
✅️✅️Eeeh Mungu Naomba Ukabariki kazi ya Mikono Yangu Siku ya Leo Maana Sisi wengine Tegemeo Letu ni wewe Tu
SawasawaUkipata nafasi kuwa chanzo za furaha, amani na mafanikio kwa wengine utabarikiwa zaidi
📌📌Usitoe maamuzi fulani kwa sababu yanakupa furaha ya leo. Kesho bado ipo sjui unanielewa
SawaMaombi na sala inapokua ndio tabia yako, Miujiza na ushindi Inakua ni Kawaida Kila siku Kwenye Maisha Yako
📌📌Usitafute Mapenzi Kwenye Umri Wa Kutafuta Hela, Utajikuta Umevikosa Vyote
NalitambuaTambua kuwa Maamuzi Magumu Ni Sehemu Ya Maisha Ya Mtu Anayehitaji Kufanikiwa
SawaUsitafute Mapenzi Kwenye Umri Wa Kutafuta Hela, Utajikuta Umevikosa Vyote
Sawa piaUsitafute Mapenzi Kwenye Umri Wa Kutafuta Hela, Utajikuta Umevikosa Vyote
SawaTambua Kuwa Ukimuomba MUNGU Akuondolee Maadui, Utaona Marafiki wanapungua
👍👍ili uwe Bora lazima ujenge uwezo wa kukabiliana na Mambo Magumu na Nyakati ngumu za Maisha Yako
SawaTambua kuwa Maamuzi Magumu Ni Sehemu Ya Maisha Ya Mtu Anayehitaji Kufanikiwa