Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ukitaka Kufika Mbali Kwenye Maisha Ya Mafanikio Siku zote Muheshimu Sana Anaekusema Vibaya Usimchukie Adui Peke Ndo Anaweza Kukupa Hatua Mpya Maishani.
 
Ukitaka Kufika MbaliKwenye Maisha Ya Mafanikio SikuzoteMuheshimu SanaAnaekusema Vibaya Usimchukie Adui Peke Ndo Anaweza Kukupa Hatua Mpya Maishani.
 
Kifo kinapokuja Tajiri anakua hana mali tena, Wala maskini Hana madeni tena, Maisha ya Hapa Duniani utupatia matabaka sana ila Kifo Utupatia usawa.
 
Katika kila aliyefanikiwa kuna mbeleko iliyombeba na kumvusha mahali au wakati ambao uliamua hatma ya kufanikiwa kwake. Tofauti ipo tu kati ya wale wanyenyekevu wanaozitambua na kuzienzi mbeleko zao hadharani na wale wajivuni wasiofanya hivyo. Kila penye mafanikio pana mbeleko!"
 
Mwenyezi Mungu kamuumba kila mtu, kila muonekano, kila umbile na kila tabia na watu wa aina yake. Tatizo ni pale tunapolazimisha kuvutia na kupendwa na wale wasio wa aina yetu
 
"Si kila aliye katika maisha yako amefika, wengine wameegesha tu kwako wakisubiri majibu ya maombi yao kule kwingine walipotegeshea ndoto za maisha yao yajibiwe waende." ~Togolani Mavura.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…