Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Katika uongozi ni muhimu sana sana kutambua ni wakati gani una cheo tu, wakati gani una mamlaka tu, na wakati gani una vyote viwili, yaani cheo na mamlaka. Muhimu zaidi, kutambua nafasi yako na ukomo wa unachoweza kufanya katika mazingira yote hayo matatu!." ~Togolani Mavura.
 
Wakati mwingine msimu wa neema unaweza usiufikie au ukachelewa sana ukakukuta moyo wako umejeruhiwa kiasi cha kutoifaidi neema yako. Usisimamishe kuishi ukisubiri yajayo ambayo huna miadi nayo. Ishi wakati ukisubiri na subiri ukiwa unaishi."
 
Mwaka 2025 ni mwaka wa kutokufulia, ndo kwanza tumeanza, tunaanza pamoja, tujitahidi tusiachwe nyuma, tukimbie pamoja, wote tuna malengo cha kushangaza tukifika katikati tunaachana, hakuna wa kumlaumu mwisho wa mwaka, mipango yako juhudi zako, unaweza pambana
 
Back
Top Bottom