Mwaka 2025 ni mwaka wa kutokufulia, ndo kwanza tumeanza, tunaanza pamoja, tujitahidi tusiachwe nyuma, tukimbie pamoja, wote tuna malengo cha kushangaza tukifika katikati tunaachana, hakuna wa kumlaumu mwisho wa mwaka, mipango yako juhudi zako, unaweza pambana