myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Sawasawa ✔️Maisha ni safari isiyo na ramani kamili, lakini kila hatua unayopiga ina maana. Usikatishwe tamaa na milima na mabonde, maana hata giza nene huandama alfajiri angavu.
Hakikisha unatembea kwa imani, uvumilivu, na bidii
Kweli kabisaMaisha ni safari isiyo na ramani kamili, lakini kila hatua unayopiga ina maana. Usikatishwe tamaa na milima na mabonde, maana hata giza nene huandama alfajiri angavu.
Hakikisha unatembea kwa imani, uvumilivu, na bidii
KweliMaisha ni safari isiyo na ramani kamili, lakini kila hatua unayopiga ina maana. Usikatishwe tamaa na milima na mabonde, maana hata giza nene huandama alfajiri angavu.
Hakikisha unatembea kwa imani, uvumilivu, na bidii
✅️✅️Sio kila mtu ana takiwa ajue unaenda wapi wengine wana takiwa waone ushafika
SawasawaUkitaka kuishi vizuri na watu, punguza tofauti kati ya maneno na vitendo
✅️✅️Hofu ya kushindwa isiwe kubwa kuliko hamu ya ushindi. endelea kupambana
📌📌Ukitaka kuishi vizuri na watu, punguza tofauti kati ya maneno na vitendo
✅️✅️Yaliyo shindikana kwa wanadamu yana wezekana kwa Mungu, endelea kumwamini yeye.
AiseeMwisho wa siku hauta mkumbuka yule
mwenye sura nzuri bali yule mwenye moyo mwema.
✔️✔️Mwambie mwanao kuwa, tuna anza na
tulicho nacho ili kutafuta ambacho hatuna
📌📌Usi jidharau hapo ulipo kuna watu wana tamani wawepo hapo, Kikubwa zidi kupambana kwa akili.
NakubalianaMwisho wa siku hauta mkumbuka yule
mwenye sura nzuri bali yule mwenye moyo mwema.
Ni kweliUsi jidharau hapo ulipo kuna watu wana tamani wawepo hapo, Kikubwa zidi kupambana kwa akili.
Hofu tupa kule...Hofu ya kushindwa isiwe kubwa kuliko hamu ya ushindi. endelea kupambana
Ujumbe muhimuKwenye maisha kuna watu hatupaswi kuwadharau sababu ukweli ni kwamba bila wao tusingefika hapa tulipo, iwe walifanya mema au mabaya wame changia hatua zetu.
✔️✔️✔️Mafanikio hayatokei kama mlipuko kuna mchanganyiko wa jasho, nguvu, maumivu, vikwazo, akili, sala na bidii
✅️✅️✅️Kabla hujamlaumu mtu kwa kutoa siri zako, jilaumu kwanza wewe kwa kumpa mtu siri zako.
SawasawaTupendane tunaondoka duniani bila ya kuagana.
Kweli kabisaTupendane tunaondoka duniani bila ya kuagana.