Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Katika uongozi ni muhimu sana sana kutambua ni wakati gani una cheo tu, wakati gani una mamlaka tu, na wakati gani una vyote viwili, yaani cheo na mamlaka. Muhimu zaidi, kutambua nafasi yako na ukomo wa unachoweza kufanya katika mazingira yote hayo matatu!." ~Togolani Mavura.
👍👍👍
 
✅️✅️✅️
 
Katika maisha usimtambulishe mtu ambae humjui kwa undani kwa watu wako wa karibu, ukimtambulisha watu wako watamuamini kama wanavyokuamini wewe , na kitakachokuja kukutokea ni kugombana na watu wako, uliyemtambulisha kwao atawatapeli, atawadhulumu, atakimbia, atakuachia shida
👍👍
 
Mwaka 2025 ni mwaka wa kutokufulia, ndo kwanza tumeanza, tunaanza pamoja, tujitahidi tusiachwe nyuma, tukimbie pamoja, wote tuna malengo cha kushangaza tukifika katikati tunaachana, hakuna wa kumlaumu mwisho wa mwaka, mipango yako juhudi zako, unaweza pambana
Inawezekana sana
 
Katika maisha usimtambulishe mtu ambae humjui kwa undani kwa watu wako wa karibu, ukimtambulisha watu wako watamuamini kama wanavyokuamini wewe , na kitakachokuja kukutokea ni kugombana na watu wako, uliyemtambulisha kwao atawatapeli, atawadhulumu, atakimbia, atakuachia shida
Sawasawa
 
Back
Top Bottom