Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ukijaaliwa uwezo wa kubadili maisha yako, ukajaaliwa kapata kazi ama ukapata cheo kikubwa pahala, ukafanywa kua ni mwenye nafasi sehemu, Punguza Mbwembwe, Majigambo, Kujionesha na Majivuno kwa ulivyo barikiwa, aliyekupa anauwezo wa kubadili kila kitu ndani ya dakika moja TU.
 
Back
Top Bottom