Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Usipo tumia uwezo wako kutimiza ndoto zako, watautumia wengine kutimiza ndoto zao..
 
Ukijaaliwa uwezo wa kubadili maisha yako, ukajaaliwa kapata kazi ama ukapata cheo kikubwa pahala, ukafanywa kua ni mwenye nafasi sehemu, Punguza Mbwembwe, Majigambo, Kujionesha na Majivuno kwa ulivyo barikiwa, aliyekupa anauwezo wa kubadili kila kitu ndani ya dakika moja TU.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…