Haya maisha ni mafupi sana. Gusa maisha ya watu na mioyo kila upatapo uwezo, nafasi na fursa. Toa. Samehe na jinyenyekeze. Kama utapata ugumu kufanya hivyo, jitoe na anza wakati ambapo una baraka za afya na pumzi. Jipe nguvu, ujasiri na matumaini kuwa unaweza. Hakika ni Mungu tu