Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Usiruhusu furaha yako ikufanye kutangaza mipango yako katika hatua za kwanza. Jifunze kuwa msiri mpaka pale utakapo shinda. Hata kama umefanikiwa, usiongee sana mbinu zako ulizotumia. Tambua, machache wanayojua kuhusu wewe, ndio utakavyo kuwa na amani zaidi kwenye maisha yako.