Unahitaji kuungana na watu ambao wana kushawishi, watu wanaokupa changamoto ya wewe kukua pia, watu ambao watakufanya uwe bora zaidi. Chagua marafiki kwa tahadhari kubwa sana. Panga mipango yako kwa malengo maalumu. Usitarajie kuishi maisha chanya kama utashinda na watu hasi.