Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Siku zote kesho yako itategemeana na wewe halisi wa Leo na sasa....Usitegemee miujiza kama hautatumia muda mwingi kuijenga kesho yako kutokana na tabia zako za hivi Leo. Jitambue na jitathmini mapema ili usije ukamtukana kesho usiyemjua...