myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
KweliMabadiliko ni safari,na kila hatua tunayochukua ni muhimu.kwa kushirikiana,tutafanikiwa na kuleta maendeleo kwa kila mtanzania"
β οΈβ οΈβ οΈMabadiliko ni safari,na kila hatua tunayochukua ni muhimu.kwa kushirikiana,tutafanikiwa na kuleta maendeleo kwa kila mtanzania"
πππMabadiliko ni safari,na kila hatua tunayochukua ni muhimu.kwa kushirikiana,tutafanikiwa na kuleta maendeleo kwa kila mtanzania"
NakubalianaKila mtu aliye na mafanikio alianza kwa hatua ndogo. Usiogope kuanza chini, kwani kutoka chini unajifunza thamani ya kila hatua unayopanda."
SawasawaSafari ya maisha ni ndefu, lakini kila hatua ni muhimu. Anza leo, usiogope kushindwa, kwani kushindwa ni darasa bora kuliko kufaulu kwa urahisi." Twende mpaka mwisho
Naanza leoSafari ya maisha ni ndefu, lakini kila hatua ni muhimu. Anza leo, usiogope kushindwa, kwani kushindwa ni darasa bora kuliko kufaulu kwa urahisi." Twende mpaka mwisho
Ndoto zako ni ramani ya maisha yako. Fuata njia yako bila kusita, na kumbuka kuwa mawe utakayokutana nayo njiani yanaimarisha safari yako."
πππKila unachokifanya leo ni mbegu unayopanda kwa kesho yako. Kumbuka, mavuno mazuri yanahitaji uvumilivu na bidii."
β οΈβ οΈβ οΈHuwezi kufika mbali kwa kujilinganisha na wengine. Kila mmoja ana safari yak. Jilinganishe na vile ulivyokuwa jana na uangalie jinsi unavyoweza kuw bora kesho
Uko SawasawaKila unachokifanya leo ni mbegu unayopanda kwa kesho yako. Kumbuka, mavuno mazuri yanahitaji uvumilivu na bidii."
βοΈβοΈβοΈNdoto zako ni ramani ya maisha yako. Fuata njia yako bila kusita, na kumbuka kuwa mawe utakayokutana nayo njiani yanaimarisha safari yako."
β οΈβ οΈβ οΈβ οΈHuwezi kufika mbali kwa kujilinganisha na wengine. Kila mmoja ana safari yak. Jilinganishe na vile ulivyokuwa jana na uangalie jinsi unavyoweza kuw bora kesho
Huwezi kufika mbali kwa kujilinganisha na wengine. Kila mmoja ana safari yak. Jilinganishe na vile ulivyokuwa jana na uangalie jinsi unavyoweza kuw bora kesho
Kutafuta maisha ni safari isiyo na mwisho. Jifunze kuenjoy kila hatua, kwani furaha haipatikani tu kwenye mafanikio, bali pia kwenye juhudi zako za kuyafikia."
Kila mtu aliye na mafanikio alianza kwa hatua ndogo. Usiogope kuanza chini, kwani kutoka chini unajifunza thamani ya kila hatua unayopanda."
ππKila mtu aliye na mafanikio alianza kwa hatua ndogo. Usiogope kuanza chini, kwani kutoka chini unajifunza thamani ya kila hatua unayopanda."
βοΈβοΈβοΈUsikubali hofu ikuzuie kufuata ndoto zako. Kumbuka, hofu ni kizuizi cha muda, lakini majuto ni ya kudumu."
πππKutafuta maisha ni safari isiyo na mwisho. Jifunze kuenjoy kila hatua, kwani furaha haipatikani tu kwenye mafanikio, bali pia kwenye juhudi zako za kuyafikia."