myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
AiseeSafari yako ya maisha ni kubwa kuliko malengo yako na ndoto zako, unaweza kufanikisha mengi tu ambayo hayakuwa malengo yako wala ndoto yako, endelea na safari hatakama unaona hufikii malengo kwa sababu sio lazima utokee kwenye mlango ulio utegemea