myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
AiseeSafari yako ya maisha ni kubwa kuliko malengo yako na ndoto zako, unaweza kufanikisha mengi tu ambayo hayakuwa malengo yako wala ndoto yako, endelea na safari hatakama unaona hufikii malengo kwa sababu sio lazima utokee kwenye mlango ulio utegemea
ππWeka lengo lako kuu mbele yako na usichezee maisha yako. Kuwa na bidii na utayari wa kufanya kazi kuelekea kwenye malengo yako." Nukuu hii inasisitiza umuhimu wa kuweka malengo na lengo kuu maishani na kuweka juhudi zote kufikia malengo hayo. Ni muhimu kutia bidii na kujituma kwa kufanya kazi kwa bidii na kujitolea ili kufikia mafanikio na ndoto zetu.
Weka lengo lako kuu mbele yako na usichezee maisha yako. Kuwa na bidii na utayari wa kufanya kazi kuelekea kwenye malengo yako." Nukuu hii inasisitiza umuhimu wa kuweka malengo na lengo kuu maishani na kuweka juhudi zote kufikia malengo hayo. Ni muhimu kutia bidii na kujituma kwa kufanya kazi kwa bidii na kujitolea ili kufikia mafanikio na ndoto zetu.
β οΈβ οΈβ οΈMawazo yakipekee hukujia unapokuwa peke yako, mawazo ya kufanana na wengine hupatikana unapokuwa na wengine
β οΈβ οΈWeka lengo lako kuu mbele yako na usichezee maisha yako. Kuwa na bidii na utayari wa kufanya kazi kuelekea kwenye malengo yako." Nukuu hii inasisitiza umuhimu wa kuweka malengo na lengo kuu maishani na kuweka juhudi zote kufikia malengo hayo. Ni muhimu kutia bidii na kujituma kwa kufanya kazi kwa bidii na kujitolea ili kufikia mafanikio na ndoto zetu.
πππWeka lengo lako kuu mbele yako na usichezee maisha yako. Kuwa na bidii na utayari wa kufanya kazi kuelekea kwenye malengo yako." Nukuu hii inasisitiza umuhimu wa kuweka malengo na lengo kuu maishani na kuweka juhudi zote kufikia malengo hayo. Ni muhimu kutia bidii na kujituma kwa kufanya kazi kwa bidii na kujitolea ili kufikia mafanikio na ndoto zetu.
AiseeJua huanza kuzama kabla ya giza kuingia, mambo magumu yakawa mabaya zaidi, ndoto ikawa jinamizi, biashara iliyokuwa inakubeba ikawa mzigo, nikipindi kinakutaka kuacha kuwa mpambanaji nakuwa mwanajeshi, kipindi cha kubadili vitu na watu katika maisha yako-wakati mgumu fanya magumu
Dunia ina mambo mengi ya kufanya,kuzungumzia , kuyafuatilia au kujifunza, chagua kufanya, kuzungumzia, kufuatilia na kujifunza mambo yatakayo kuingizia hela
Dunia ina mambo mengi ya kufanya,kuzungumzia , kuyafuatilia au kujifunza, chagua kufanya, kuzungumzia, kufuatilia na kujifunza mambo yatakayo kuingizia hela
Shuleni unajifunza nini cha kufanya ili usifanye makosa, kwenye maisha unajifunza nini cha kufanya ukisha fanya makosa
πππDunia ina mambo mengi ya kufanya,kuzungumzia , kuyafuatilia au kujifunza, chagua kufanya, kuzungumzia, kufuatilia na kujifunza mambo yatakayo kuingizia hela
πππDunia ina mambo mengi ya kufanya,kuzungumzia , kuyafuatilia au kujifunza, chagua kufanya, kuzungumzia, kufuatilia na kujifunza mambo yatakayo kuingizia hela
SawasawaShujaa hukiwaza kifo kila saa, ndio humpa ushindi na kuweza kufika mwisho wa vita akiwa hai, kwasababu anachukua tahadhari zaidi, anajiandaa zaidi, ana focus zaidi, anakuwa makini zaidi kwake silaha sio uoga wala sio ujasiri bali ni umakini
NakubalianaEpuka kuwa na watu ambao wakiwepo inabidi uchunge sana unachosema
ππ