Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Sawasawakabisa
Kamwe usijikatie tamaa. Kukata tamaa kutakufanya ukose matumaini ya kuzifikia ndoto zako pamoja na baraka, neema na rehema ambazo Mungu amekuandalia. Muamini Yeye na mambo yote yatakuwa sawa upande wako. Tambua, hata dhoruba hupotea na kuja mawingu mazuri.
 
Back
Top Bottom