Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Pindi moyo wako ukiwa mzito na mzigo na fikra zako hazioni tena njia mbele, ndipo unatakiwa kumuamini Mungu na kumtegemea yeye zaidi. Usifurahie mawazo hasi kutokana na majaribu unayopitia. Kuwa jasiri, najua sio rahisi ila unaweza kufanikiwa. Kuwa mvumilivu na utapata njia tena.
Sawasawa
 
Usipende kuumia moyo baada ya kukosa kitu walichopata wengine, endelea Kuamini ipo Siku tu .
Sawa
Pesa ili idumu lazima uwe na nidhamu ya pesa,Ajira ili idumu inahitaji nidhamu,biashara ili ikue na ikuletee faida inahitaji nidhamu,mapenzi ili yadumu yanahitaji nidhamu,kiongozi ili akubalike anahitaji nidhamu kila jambo lifanye kwa nidhamu lakini sio kwa nidhamu ya woga
 
👍👍👍
 
✅️✅️✅️
 
Back
Top Bottom