myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
SawasawaPindi moyo wako ukiwa mzito na mzigo na fikra zako hazioni tena njia mbele, ndipo unatakiwa kumuamini Mungu na kumtegemea yeye zaidi. Usifurahie mawazo hasi kutokana na majaribu unayopitia. Kuwa jasiri, najua sio rahisi ila unaweza kufanikiwa. Kuwa mvumilivu na utapata njia tena.
👍👍Jikumbushe mara kwa mara kuwa wewe duniani unapita hii itakusaidia kuthamini muda na kupunguza dharau.
SawaWakati mwingine jifunze na penda kutembea kwenye mvua kwasababu hakuna hata mmoja atakae ona maumivu na machozi yako.
📌📌Jikumbushe mara kwa mara kuwa wewe duniani unapita hii itakusaidia kuthamini muda na kupunguza dharau.
✔️✔️Wakati unamsubiri Mungu akubariki. Endelea kumshukuru.
✔️✔️✔️Jikumbushe mara kwa mara kuwa wewe duniani unapita hii itakusaidia kuthamini muda na kupunguza dharau.
SawaKuna ukuta mwembamba sana unaotenganisha kati ya kuwa huru na kuachwa holela hivyo usimfanye aliyekupa uhuru akaonekana amekuacha holela.
SawaUsipende kuumia moyo baada ya kukosa kitu walichopata wengine, endelea Kuamini ipo Siku tu .
✔️✔️✔️Kuongea vizuri na marafiki pamoja na watu wengine unaokutana nao katika harakati za kutafta maisha pia ni baraka
SawasawaMpendwa, unapopita katika changamoto yoyote ile. Usitazame ukubwa wa changamoto yako; bali tazama ukubwa wa Mungu wako.
SawaFanya ibada,Tafuta Pesa, Samehe walio kukwaza,Tunza afya Yako na ishi maisha Yako.
📌📌📌Mpendwa, unapopita katika changamoto yoyote ile. Usitazame ukubwa wa changamoto yako; bali tazama ukubwa wa Mungu wako.
SawasawaFanya ibada,Tafuta Pesa, Samehe walio kukwaza,Tunza afya Yako na ishi maisha Yako.
SawaMpendwa, unapopita katika changamoto yoyote ile. Usitazame ukubwa wa changamoto yako; bali tazama ukubwa wa Mungu wako.
✔️✔️✔️Fanya ibada,Tafuta Pesa, Samehe walio kukwaza,Tunza afya Yako na ishi maisha Yako.
SawasawaUsitafute ukamilifu na usahihi kwenye makosa uliyo yafanya kwa kuongea misemo itayo Halalisha ujinga wako, Omba msamaha na uendelee kujifunza kila siku
SawaUsipende kuumia moyo baada ya kukosa kitu walichopata wengine, endelea Kuamini ipo Siku tu .
Pesa ili idumu lazima uwe na nidhamu ya pesa,Ajira ili idumu inahitaji nidhamu,biashara ili ikue na ikuletee faida inahitaji nidhamu,mapenzi ili yadumu yanahitaji nidhamu,kiongozi ili akubalike anahitaji nidhamu kila jambo lifanye kwa nidhamu lakini sio kwa nidhamu ya woga
👍👍👍Pesa ili idumu lazima uwe na nidhamu ya pesa,Ajira ili idumu inahitaji nidhamu,biashara ili ikue na ikuletee faida inahitaji nidhamu,mapenzi ili yadumu yanahitaji nidhamu,kiongozi ili akubalike anahitaji nidhamu kila jambo lifanye kwa nidhamu lakini sio kwa nidhamu ya woga
📌📌📌Jitahidi Akili yako iwe na uwezo wa kuchangia maada mbalimbali zinazotekea katika jamii yako..
Kuliko kuonekana upo upo tu, tunahitaji watu wenye mchango zaidi kwenye jamii hata wa mawazo tu...
✅️✅️✅️Pesa ili idumu lazima uwe na nidhamu ya pesa,Ajira ili idumu inahitaji nidhamu,biashara ili ikue na ikuletee faida inahitaji nidhamu,mapenzi ili yadumu yanahitaji nidhamu,kiongozi ili akubalike anahitaji nidhamu kila jambo lifanye kwa nidhamu lakini sio kwa nidhamu ya woga