myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
✔️✔️✔️Jitahidi Akili yako iwe na uwezo wa kuchangia maada mbalimbali zinazotekea katika jamii yako..
Kuliko kuonekana upo upo tu, tunahitaji watu wenye mchango zaidi kwenye jamii hata wa mawazo tu...
Jitahidi Akili yako iwe na uwezo wa kuchangia maada mbalimbali zinazotekea katika jamii yako..
Kuliko kuonekana upo upo tu, tunahitaji watu wenye mchango zaidi kwenye jamii hata wa mawazo tu...
Jitahidi Akili yako iwe na uwezo wa kuchangia maada mbalimbali zinazotekea katika jamii yako..
Kuliko kuonekana upo upo tu, tunahitaji watu wenye mchango zaidi kwenye jamii hata wa mawazo tu...
👍👍👍usidharau kitu kidogo, kidogo ukikuheshimu bhasi jua utafanikiwa na utapata vingi maana uliheshimu vidogo vikubwa utaviheshimu mno maana na hapo ndo mafanikio utayaona.
SawaUsitafute ukamilifu na usahihi kwenye makosa uliyo yafanya kwa kuongea misemo itayo Halalisha ujinga wako, Omba msamaha na uendelee kujifunza kila siku
📌📌📌Matatizo yako hakuna wa kuyabeba kama we mwenyew hujaamua kushindana nayo kuyapunguza au kuyamaliza ikibidi.. Jipiganie
✔️✔️✔️Vikwazo vitakuja. Lakini kufanya kazi kwa bidii hakutakuwa na mipaka. Haijalishi mara ngapi vikwazo vina kukumba. Haijalishi muda gani umesubiria. Haijalishi mambo gani hayawezekani. Usikate tamaa. Muamini Mungu. Pambana kwenye siku mbaya ili kupata siku nzuri maishani mwako.
📌📌Jifunze kuachilia unapohisi hauna namna ili uepuke maumivu makubwa zaidi yatokanayo na kung'ang'ania.
✅️✅️✅️Vikwazo vitakuja. Lakini kufanya kazi kwa bidii hakutakuwa na mipaka. Haijalishi mara ngapi vikwazo vina kukumba. Haijalishi muda gani umesubiria. Haijalishi mambo gani hayawezekani. Usikate tamaa. Muamini Mungu. Pambana kwenye siku mbaya ili kupata siku nzuri maishani mwako.
✔️✔️✔️Usiwe na hofu na umbali wa barabara mbele yako. Inaweza onekana ndefu sana. Kumbuka, Mungu anayo yote aliyopanga juu yako. Inahitaji kuanza safari yako kama hatua za mtoto mchanga. Utasimama na kufika tu kwa spidi. Nafasi yako utaishikiria mapema. Matatizo pembeni. utafurahi
SawasawaSiyo kuhusu kushinda au kushindwa, lakini ni kuhusu kujifunza na kukua. Amini safari yako, hata kama njia upitayo ina vikwazo
📌📌📌Usiwe na hofu na umbali wa barabara mbele yako. Inaweza onekana ndefu sana. Kumbuka, Mungu anayo yote aliyopanga juu yako. Inahitaji kuanza safari yako kama hatua za mtoto mchanga. Utasimama na kufika tu kwa spidi. Nafasi yako utaishikiria mapema. Matatizo pembeni. utafurahi
👍👍👍Tafuta mtu ambaye anajivunia kuwa na wewe, anaogopa kukupoteza, anapambana kwa ajili yako, anakukubali, anakuheshimu, anakujali, anakusikiliza, anakuthamini, anafurahia mafanikio yako na anakupenda wewe tu. Kila mtu ni mzuri ila sio wote wanahitaji nafasi ndani ya moyo wako
SawasawaTafuta mtu ambaye anajivunia kuwa na wewe, anaogopa kukupoteza, anapambana kwa ajili yako, anakukubali, anakuheshimu, anakujali, anakusikiliza, anakuthamini, anafurahia mafanikio yako na anakupenda wewe tu. Kila mtu ni mzuri ila sio wote wanahitaji nafasi ndani ya moyo wako
📌📌Usiwe na hofu na umbali wa barabara mbele yako. Inaweza onekana ndefu sana. Kumbuka, Mungu anayo yote aliyopanga juu yako. Inahitaji kuanza safari yako kama hatua za mtoto mchanga. Utasimama na kufika tu kwa spidi. Nafasi yako utaishikiria mapema. Matatizo pembeni. utafurahi
✅️✅️✅️Vikwazo vitakuja. Lakini kufanya kazi kwa bidii hakutakuwa na mipaka. Haijalishi mara ngapi vikwazo vina kukumba. Haijalishi muda gani umesubiria. Haijalishi mambo gani hayawezekani. Usikate tamaa. Muamini Mungu. Pambana kwenye siku mbaya ili kupata siku nzuri maishani mwako.
✔️✔️Vikwazo vitakuja. Lakini kufanya kazi kwa bidii hakutakuwa na mipaka. Haijalishi mara ngapi vikwazo vina kukumba. Haijalishi muda gani umesubiria. Haijalishi mambo gani hayawezekani. Usikate tamaa. Muamini Mungu. Pambana kwenye siku mbaya ili kupata siku nzuri maishani mwako.