myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
AiseeUsitizame majaribu unayopitia na kufikiri kuwa hakuna hata mmoja ambaye hajayapitia kama wewe pia. Badala yake, jifunze kupambana na changamoto na kushinda kila mitihani kwa shukurani na ukarimu. Tambua, Mungu anakuweka mahala fulani kwa sababu maalumu. Wewe ni mshindi zaidi.
SawaPindi Mungu akikupa mwanzo mpya, kamwe usithubutu kurudia kosa lilelile. Badala yake ujaze moyo wako kwa shukurani na ahsante kumuelekea yeye pekee kwa kukupa nafasi ya pili. Kumbuka, sio kila mtu anaipata nafasi hiyo ya dhahabu.
AiseeUsitizame majaribu unayopitia na kufikiri kuwa hakuna hata mmoja ambaye hajayapitia kama wewe pia. Badala yake, jifunze kupambana na changamoto na kushinda kila mitihani kwa shukurani na ukarimu. Tambua, Mungu anakuweka mahala fulani kwa sababu maalumu. Wewe ni mshindi zaidi.
👍👍Uvumilivu ni mzuri. Matokeo ya kusubiria ni mazuri zaidi. Kama Mungu atakufanya usubirie, jiandae kupokea kitu kizuri na bora zaidi ya matarajio yako ya awali. Anajua sio rahisi kuwa na uvumilivu, anajua ni nini unastahili. Kwahiyo, atafanya subira iwe ya thamani sana kwako.
📌📌Usitizame majaribu unayopitia na kufikiri kuwa hakuna hata mmoja ambaye hajayapitia kama wewe pia. Badala yake, jifunze kupambana na changamoto na kushinda kila mitihani kwa shukurani na ukarimu. Tambua, Mungu anakuweka mahala fulani kwa sababu maalumu. Wewe ni mshindi zaidi.
✔️✔️✔️Mungu, wewe pekee ndio unajua majaribu na changamoto ambazo tunazipitia sasa, maumivu yetu na ukosefu wa faraja kwetu, dhiki pamoja na hatima yetu maishani. Wewe pekee ndio una nguvu ya kutuponya, kutupa tumaini mioyoni mwetu na kutufanya tusimame tena imara kwenye mapambano yetu
✅️✅️✅️Usitizame majaribu unayopitia na kufikiri kuwa hakuna hata mmoja ambaye hajayapitia kama wewe pia. Badala yake, jifunze kupambana na changamoto na kushinda kila mitihani kwa shukurani na ukarimu. Tambua, Mungu anakuweka mahala fulani kwa sababu maalumu. Wewe ni mshindi zaidi.
📌📌Mungu, wewe pekee ndio unajua majaribu na changamoto ambazo tunazipitia sasa, maumivu yetu na ukosefu wa faraja kwetu, dhiki pamoja na hatima yetu maishani. Wewe pekee ndio una nguvu ya kutuponya, kutupa tumaini mioyoni mwetu na kutufanya tusimame tena imara kwenye mapambano yetu
✔️✔️✔️Haijalishi magumu mangapi unapitia sasa. Fahamu kuwa Mungu yupo nyuma yako. Alikuwa pale wakati wote ulipokosa tumaini. Alikuwa pale hata giza lilipotanda mbele ya macho yako. Alikuwa pale pindi kila mtu alipokukatia tamaa na kukuacha mpweke. Weka imani na amini wakati wake kwako
✅️✅️✅️Haya maisha ni mafupi sana. Gusa maisha ya watu na mioyo kila upatapo uwezo, nafasi na fursa. Toa. Samehe na jinyenyekeze. Kama utapata ugumu kufanya hivyo, jitoe na anza wakati ambapo una baraka za afya na pumzi. Jipe nguvu, ujasiri na matumaini kuwa unaweza. Hakika ni Mungu tu
📌📌📌Haijalishi magumu mangapi unapitia sasa. Fahamu kuwa Mungu yupo nyuma yako. Alikuwa pale wakati wote ulipokosa tumaini. Alikuwa pale hata giza lilipotanda mbele ya macho yako. Alikuwa pale pindi kila mtu alipokukatia tamaa na kukuacha mpweke. Weka imani na amini wakati wake kwako
SawaHaya maisha ni mafupi sana. Gusa maisha ya watu na mioyo kila upatapo uwezo, nafasi na fursa. Toa. Samehe na jinyenyekeze. Kama utapata ugumu kufanya hivyo, jitoe na anza wakati ambapo una baraka za afya na pumzi. Jipe nguvu, ujasiri na matumaini kuwa unaweza. Hakika ni Mungu tu
✔️✔️✔️Ukijaaliwa uwezo wa kubadili maisha yako, ukajaaliwa kapata kazi ama ukapata cheo kikubwa pahala, ukafanywa kua ni mwenye nafasi sehemu, Punguza Mbwembwe, Majigambo, Kujionesha na Majivuno kwa ulivyo barikiwa, aliyekupa anauwezo wa kubadili kila kitu ndani ya dakika moja TU.
SawasawaHatupimi urafiki kwa kuangalia tumetoka mbali, bali tunaangalia namna wanavyo gusa maisha yetu katika vipindi mbalimbali hasa ule wakati unaokua huna lolote, huna chochote na unakuwa unawahitaji kwa namna moja au nyingine "
✅️✅️✅️Umasikini usikufanye Uchukue Maisha yako mwenyewe, Amini Pumzi ni kitu chenye gharama kubwa zaidi duniani na hainunuliwi inatakiwa Kumshukuru Mungu tu
SawaKila unapo lala na kuamka Usiache kusali na kuwaombea uwapendao. Maisha ni kipande kifupi Sana