Safari ya Mafanikio huwa ni safari ngumu inayoumiza ,inayochosha na kukatisha Tamaa
Lakini uking'ang'ana pasipo kukata tamaa utakula matunda ya kazi yako.
Chochote unachokiona Leo kimezaa matunda ya kuliwa ,matamu na kutamaniwa ujue kuna gharama imelipwa