Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Jitahidi katika harakati zako za kutafuta maisha, kutafuta hela, kutafuta Jina, kutafuta utajiri, Usimwache Mungu, mtegemee yeye kwa Kila kitu. Maana haina maanaa kuwa na kila kitu duniani halafu baada ya hapa ukaenda kuishi maisha mabaya na magumu sana