myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Sawasawa
Linda heshima ambayo ukiipoteza itakugharimu kuirudisha
Linda heshima ambayo ukiipoteza itakugharimu kuirudisha
Ukiona watu wanakuheshimu jitaidi sana na wewe ujiheshimu ila ukishindwa kujiheshimu watu wanaweza wakashindwa kuendelea kukuheshimu.
NakubalianaUkiona watu wanakuheshimu jitaidi sana na wewe ujiheshimu ila ukishindwa kujiheshimu watu wanaweza wakashindwa kuendelea kukuheshimu.
📌📌Hakikisha Leo Yako inakuwa ni Bora zaidi ya Jana.
Leo iliyokuwa Bora ni mwanzo wa kesho Bora!!!
Linda utu watu, ulinde heshima na thamani Yako!!!
✅️✅️✅️Ukiona watu wanakuheshimu jitaidi sana na wewe ujiheshimu ila ukishindwa kujiheshimu watu wanaweza wakashindwa kuendelea kukuheshimu.
SawasawaLinda heshima ambayo ukiipoteza itakugharimu kuirudisha
SawasawaLinda heshima ambayo ukiipoteza itakugharimu kuirudisha
Dunia ya leo, upate mtu humjui, hakujui na akusaidie bila kujali utampa nini, mshukuru, mthamini na mtunzie heshima yake vyovyote iwavyo, na linda uaminifu kama ukiaminiwa
SafiiiiiWhat a start! Akanji loses the ball and Ødegaard nets it! Arsenal 1-0 Man CityView attachment 3222803
WamepigwaWhat a start! Akanji loses the ball and Ødegaard nets it! Arsenal 1-0 Man CityView attachment 3222803
Usimzunguke mtu anayekuamini.Ukipewa nafasi ya kuyajua maisha ya mtu tulia kimya, akipata tatizo mtetee na linda heshima yake.Tabia ya kutumia taarifa zake kumpika na kumsema kwa watu inaumiza, inachosha
Dunia ya leo, upate mtu humjui, hakujui na akusaidie bila kujali utampa nini, mshukuru, mthamini na mtunzie heshima yake vyovyote iwavyo, na linda uaminifu kama ukiaminiwa
SawwLinda heshima yako, ijue thamani yako. Shida na changamoto huwa ni za muda tuu zitapita zisikufanye ukaaibika na kudhalilika.
✔️✔️✔️Dunia ya leo, upate mtu humjui, hakujui na akusaidie bila kujali utampa nini, mshukuru, mthamini na mtunzie heshima yake vyovyote iwavyo, na linda uaminifu kama ukiaminiwa
SafiiiiiWhat a strike from Lewis-Skelly to double the lead! Arsenal 3-1 Man CityView attachment 3222839
Pigaaaa
Havertz with a finish that makes up for his earlier miss! Arsenal 4-1 Man CityView attachment 3222841