Dunia ya leo, upate mtu humjui, hakujui na akusaidie bila kujali utampa nini, mshukuru, mthamini na mtunzie heshima yake vyovyote iwavyo, na linda uaminifu kama ukiaminiwa

Usimzunguke mtu anayekuamini.Ukipewa nafasi ya kuyajua maisha ya mtu tulia kimya, akipata tatizo mtetee na linda heshima yake.Tabia ya kutumia taarifa zake kumpika na kumsema kwa watu inaumiza, inachosha

JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.